The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mkuu,sometimes maisha yanaweza kukupitisha kwenye njia ngumu ili kukupeleka kwenye neema,kikubwa ni kutokukata tamaa tu.Ni kweli mkuu,na hongera zake,mm sister kamaliza chuo mzumbe gpa nzuri tu tena alipambana kweli kwelii katika mazingira magumu,lakini mwaka wa 6 huu kazi hamna,kaenda interview hadi kachoka,mwisho wa siku kaamua tu kuuza mihogo,huwa namuona anavyo hangaika akisikia kazi interview kwenda kopa hadi nauli kama tukiwa hatuna pesa lakini wapi,naon Mungu bado hajawa upande wake.na hiv msomi ndiye yey kazi kweli kweli.
Cc : 1995_No_Ku_FakeKua balozi mwema.
Kuna yule anaombaga 20000 saiv kapanda chart anaomba 30000 ajifunze hapa.
Inawezekana mkuu, kikubwa nimepata ninachohitaji na namshkuru sanaNje ya JF,watu wengi hua wanajifanya hawaijui kabisa JF,
Huyo aliyekwambia hivyo,huenda ni member maarufu sana tu humu.
SIKU YA KUPATA HAIJULIKANI MKUUNi kweli mkuu,na hongera zake,mm sister kamaliza chuo mzumbe gpa nzuri tu tena alipambana kweli kwelii katika mazingira magumu,lakini mwaka wa 6 huu kazi hamna,kaenda interview hadi kachoka,mwisho wa siku kaamua tu kuuza mihogo,huwa namuona anavyo hangaika akisikia kazi interview kwenda kopa hadi nauli kama tukiwa hatuna pesa lakini wapi,naon Mungu bado hajawa upande wake.na hiv msomi ndiye yey kazi kweli kweli.
Sahihi,watu waombe kazi badala ya hela.Kua balozi mwema.
Kuna yule anaombaga 20000 saiv kapanda chart anaomba 30000 ajifunze hapa.
Asiache kutafuta hujui ni lin na nan atakuona,Mkuu,sometimes maisha yanaweza kukupitisha kwenye njia ngumu ili kukupeleka kwenye neema,kikubwa ni kutokukata tamaa tu.
Kaz ndyo mpango hata uombe hela ztaisha utarudSahihi,watu waombe kazi badala ya hela.
Usiibe sana huko sasa we si mwema sana.Tuliosaidiwa tusijifiche watu wajue
Ni kweli mkuu mimi syo mtu mwema ila simaanishi ni mwizi.Usiibe sana huko sasa we si mwema sana.
Bosi nakusoma hapa
ShesRise_1Hongera sana
Abee mkuu
Nadahan bado mimi tu kuusapoti mziki wangu nami nijitegemee wakuuJF imewasaidia wengi sana.
dogo bird unazingua saaana😃😃Aisee usinianzishe uzi wa kunishukuru. Miaka kadhaa nyuma (wakati natumia IDs zingine) nilijishukuru kwa id fulani kwamba najua kusaidia watu wenye huhitaji. Dah! Watu wakajazana PM kunipiga vizinga, kimoyomoyo nikawa nasema, wangekuwa wanajua kuwa sina kitu wangekuwa wananichangia 😂
Kila la kheri kwake
Asante mkuu
😁Nadahan bado mimi tu kuusapoti mziki wangu nami nijitegemee wakuu
Ukawe na moyo huo huo wa kusaidia wengine.......Hongera kwa kupata ajira.Wakuu ni mimi tena
Baada ya kupost wiki iliyopita kuomba kibarua chochote nikapigiwa simu na mtu
ASANTE KWA WEWE ULIYECHUKUA NAMBA YANGU NA KUNIUNGANISHA NA BOSI(najua umo humu)
MEMBERS WENGINE MLIOFANYA UZI UWE TRENDING KWA DAKIKA KADHAA WATU WAKAONA NAMBA YANGU.
ilikuwa hivi;;
MTU;Wew ndo mwenye hii namb unataka kaz?
MIMI;Ndiyo, ni wapi mkuu?
MTU;nimepewa namba nikwambie ni wapi na mshahara ni kias gan kama upo tayal njoo mda wowote na nauli yako utarudishiwa
...Wakuu nipo kibaruani nmepata kamuda kidogo nikushukuru wew uliyeniunganisha na niwashukuru members wote
Kwa mara nyingine tena simjui aliyeniunganisha wala bosi mwenyew kikubwa msimamizi wangu ananiambia nimekabidhiwa nikusimamie HIYO JAMII FORUM NDIYO NINI MBONA SIJAWAHI KUISKIA?
Mwisho nasema hivi wakuu mimi siyo mwema sana ila kwa leo naomba MUNGU wangu awape baraka nyingi sana
wacha nirudi kazin wakuu.
Asanten JF.