Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Tangu dunia iumbwe hakuna mwanadamu aliyewahi kuona kirusi.
Hata hiki kilicho maarufu sasa hakijawahi kuonwa na yeyote.
Unachoona kwenye michoro hiyo ni computer generated model tu ya kutengeneza – na sio picha halisi.
SWALI LANGU
Katika chanjo zote mnasema mwili wangu unafanyishwa mazoezi ili ujifunze kutoa antibodies za kupambana na ugonjwa husika. Maana yake ni kuwa kitendo cha mwili kuja kutoa antibodies ndio mafanikio na ndio afya.
Hata hiki kilicho maarufu sasa hakijawahi kuonwa na yeyote.
Unachoona kwenye michoro hiyo ni computer generated model tu ya kutengeneza – na sio picha halisi.
- Tumeambiwa miaka mingi kwamba kuna kirusi cha ukimwi.
- Tukienda kupimwa, huwa hawaoni kirusi, bali huwa wanapima kuona kama kuna ANTIBODIES (yaani ni kama kusema, nyumba imefungwa, hujui kuna nini ndani, lakini mtaalamu anakuambia kwamba, ukiona tu nzi wanaingia na kutoka, basi jua humo kuna mzoga) – kwani haiwezi kuwa matembele yaliyochacha? Haiwezi kuwa ugali uliochacha? Haiwezi kuwa maharage yaliyochacha? Kwa nini unataka uwe mzoga tu?
- Kwa hiyo, wakikuta mwili umetoa antibodies – ambazo kazi yake ni kupambana na magonjwa, basi ndio wanakuambia WEWE UNA HIV – na sio kwamba wamekiona kirusi chenyewe.
SWALI LANGU
Katika chanjo zote mnasema mwili wangu unafanyishwa mazoezi ili ujifunze kutoa antibodies za kupambana na ugonjwa husika. Maana yake ni kuwa kitendo cha mwili kuja kutoa antibodies ndio mafanikio na ndio afya.
- Inakuwaje kwenye HIV, mwili huohuo ukitoa antibodies, badala ya kuupongeza, mnasema ni ishara ya hatari?
- Kama hata kirusi chenyewe hakijawahi kuonekana, hakuna uwezekano kuwa mtu akaambiwa ana HIV kumbe ni tatizo jingine?