Naomba kujua 100,000/- ya Burundi sawa na Shilingi ngapi za Tanzania?

Kuna nchi nilienda,nikawa nikitumia crdb viza card yangu mpaka haibu,unakuta bill ni dola 18, sasa kwa chini kwenye kile kimashine itaonekana na figure in Tz shilling,unakuta lifiga likubwa,wanashangaa tu...kingine Tz haijulikani kabisa,bora ingebaki Tanganyika ilikua ina nguvu tungekua maarufu.
 
Ushakojoa jisafishe ety tanganyika ina nguvu kweli ushamba mzigo
 
Ko nikiwa na milioni 5 nikienda Burundi nakuwa kibopa sio 😂
Tunaangalia purchasing power parity baada ya hapo. Kuna uwezekano mkubwa wa kuwa na burungutu la pesa ila nguvu ya hilo burungutu ikawa ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…