makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Kwa hiyo purchasing power parity ya million kumi ya tz Niki change kwa Pesa ya Burundi, na kwenda nayo huko haiwezi kuwa na nguvu mara mbili zaidi ya nikiwa nayo hapa tz?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa harakaharaka ni kama sawa pale boda ukitoa 1000 ya Tanzania unapewa 1000 ya BurundiKwema wakuu?
Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania?
Sina uzoefu napo nilikua nahitajia kufahamu ili kuona namna gani natoa huduma zangu za tiba asiliTupe na fursa zilizopo burundi
Utaoa mpaka mke wa prezidaa wa zamani.Ko nikiwa na milioni 5 nikienda Burundi nakuwa kibopa sio 😂