makutupora JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 2,089 Reaction score 4,086 Jan 26, 2025 #21 Kwa hiyo purchasing power parity ya million kumi ya tz Niki change kwa Pesa ya Burundi, na kwenda nayo huko haiwezi kuwa na nguvu mara mbili zaidi ya nikiwa nayo hapa tz?
Kwa hiyo purchasing power parity ya million kumi ya tz Niki change kwa Pesa ya Burundi, na kwenda nayo huko haiwezi kuwa na nguvu mara mbili zaidi ya nikiwa nayo hapa tz?
G gemseeker23 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2023 Posts 354 Reaction score 246 Jan 26, 2025 #22 Herbalist Mtaturu said: Kwema wakuu? Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania? Click to expand... Kwa harakaharaka ni kama sawa pale boda ukitoa 1000 ya Tanzania unapewa 1000 ya Burundi
Herbalist Mtaturu said: Kwema wakuu? Naomba kujua laki moja (100,000/-) ya Burundi sawa na shilingi ngapi za Tanzania? Click to expand... Kwa harakaharaka ni kama sawa pale boda ukitoa 1000 ya Tanzania unapewa 1000 ya Burundi
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,340 Reaction score 4,734 Jan 26, 2025 #23 Tupe na fursa zilizopo burundi
Herbalist Mtaturu Senior Member Joined Aug 17, 2023 Posts 156 Reaction score 237 Jan 26, 2025 Thread starter #24 serio said: Tupe na fursa zilizopo burundi Click to expand... Sina uzoefu napo nilikua nahitajia kufahamu ili kuona namna gani natoa huduma zangu za tiba asili
serio said: Tupe na fursa zilizopo burundi Click to expand... Sina uzoefu napo nilikua nahitajia kufahamu ili kuona namna gani natoa huduma zangu za tiba asili
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 14,478 Reaction score 18,341 Jan 26, 2025 #25 makutupora said: Ko nikiwa na milioni 5 nikienda Burundi nakuwa kibopa sio 😂 Click to expand... Utaoa mpaka mke wa prezidaa wa zamani.
makutupora said: Ko nikiwa na milioni 5 nikienda Burundi nakuwa kibopa sio 😂 Click to expand... Utaoa mpaka mke wa prezidaa wa zamani.