Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

frank mkweli

Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
92
Reaction score
12
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria.

Natanguliza shukrani
 
Tabia kuu za mswahili
1.Ubabaishaji
2.Wizi (wapumbavu wanaita kujiongeza)
3.Uzembe
4.Majungu
5.Unafiki
6.Ushirikina
7.Uongo
 
Back
Top Bottom