frank mkweli
Member
- Aug 9, 2013
- 92
- 12
Sijakuelewa mkuu samahaniTabia kuu za mswahili
1.Ubabaishaji
2.Wizi (wapumbavu wanaita kujiongeza)
3.Uzembe
4.Majungu
5.Unafiki
6.Ushirikina
7.Uongo
Je kama ni hasara ya pesa isiyo weza kujulikana kiasi chake itakuwaje?Hiyo ni kesi ya Madai kwa hiyo utatakiwa kulipa hasara uliyosababisha na hela nyingine ambazo mahakama itaona inafaa
As expected.Sijakuelewa mkuu samahani
Kwenye sheria tunasema Mahakama sio mama yako haiwezi kupa kile ambacho hujaomba...Je kama ni hasara ya pesa isiyo weza kujulikana kiasi chake itakuwaje?
Mhujumu uchumiJe kama ni hasara ya pesa isiyo weza kujulikana kiasi chake itakuwaje?