Wuod Alego
New Member
- Nov 24, 2018
- 3
- 1
Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?
Kagera, wanazo kadi za NIDA za Bukoba na mazalia yao ni migombani.Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?
Bukoba.Wapo wapi?
Nilipita muleba nikashangaa kuona walivyo kwa wingiWapo wapi?