Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?

Nna shida na senene jamani😋😋, mliopo Bukoba je wanapatikana kipindi hiki?
 
Mayai ya senene yanatagwa Kizimkazi alafu yanesafirishwa mpaka mkoa wa Kagera kutotoleshwa.

Kwakweli mama apewe pongezi kwa hili jambo.Anaupiga mwingi mpaka unamwagika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…