Naomba kujua Bei ya viatu vya kike simple shoes per caton (36)

Joined
Jan 2, 2019
Posts
17
Reaction score
20
Habari waungwani, wafanyabiashara wa viatu,ninampango wa kuanza kufanya biashara ya simple shoes za kike Kwa anayeweza kunipa diteliz za uhakika namkaribisha Wasapu 0673817130 tufanye biashara pamoja
 
Nani kakwambia kila kiatu Cha kike katoni ni 36
 
Back
Top Bottom