Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Hatuna taarifa…Naomba pia kujua, je! Vitapanda bei hivi karibuni
Dish nasikia ni 210000
Hongera! Uzi mzuri sana.
Na cha antena?Ilikua ni 210000 dish pamoja na ufundi elfu 20, jumla ni 230000 hapo walikua wanatoa miezi mitatu bure, kwasasa bei imebadilika dish ni 160000 ufundi elfu 20, jumla 180000 lakini utapewa kifurushi cha bure mwezi mmoja
Mbona JF mnaishusha thamani sana,hakuna wakala uende kumuuliza,au kwa vile umeiba simu ya shemeji ndiyo umeiba ujifunzie kupost?Wakuu, natumaini mko poa kabisa!
Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?!
Ahsanteni.
Wamepunguza I60,000Dish nasikia ni 210000
Mbona JF mnaishusha thamani sana,hakuna wakala uende kumuuliza,au kwa vile umeiba simu ya shemeji ndiyo umeiba ujifunzie kupost?