Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

Ituzaingo Argentina

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
1,868
Reaction score
2,191
Wakuu, natumaini mko poa kabisa!

Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?!

Ahsanteni.
 
IMG_5573.jpg
 
Ilikua ni 210000 dish pamoja na ufundi elfu 20, jumla ni 230000 hapo walikua wanatoa miezi mitatu bure, kwasasa bei imebadilika dish ni 160000 ufundi elfu 20, jumla 180000 lakini utapewa kifurushi cha bure mwezi mmoja
 
Na cha antena?
 
Wakuu, natumaini mko poa kabisa!

Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?!

Ahsanteni.
Mbona JF mnaishusha thamani sana,hakuna wakala uende kumuuliza,au kwa vile umeiba simu ya shemeji ndiyo umeiba ujifunzie kupost?
 
Back
Top Bottom