Kama una nia ya kununua, chukua tvs chini ya cc 150. Uhuni kwenye boxer na spea umekuwa mwingi.
NB: bei ya spea kote ni kuzito.
Utafurahia sana ride ya timing chain (no vibration) nguvu kubwa, inanyuka popote hata juu ya kilima)kigongo hata ukiwa na mzigo. Kikubwa timing zako na na utundu wa kubalansi accelerator, clutch na front brake.
Kazi iendelee.
Note: petrol imepanda. Ride reasonablly