Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

Naomba kujua faida za kusoma nje ya Nchi (Bachelor of Science In Agricultural Engineering)

Wewe tu na uzalendo wake mkuu, , labda kama una koneksheni ukirudi na kupata kazi moja kwa moja badala kuhangaika na ajira portal
Zaidi ya hapo, hii ni fursa na inaweza kutokea mara moja tu maishani, na ukikaa zaidi huko ulaya , ni rahisi kutafuta fursa huko uje kuwekeza kwenye kilimo sio kurudi kuwa afisa kilimo unasubiri kupandishwa daraja la mshahara Kila Mei Mosi..
Sawa Kaka. Nimekupata vizuri. Shukrani.
 
Faida za kusoma nje kwanza ni kwamba unakuwa umeshindikana, mtu yeyote akikusogelea unamzibua!

Pili, kusoma nje ni kama kutoka nje ya ndoa, unaamua tu kwamba unaachana na mambo ya umanju unaanza kuimba ngonjera za hapa na pale..

Tatu, suala la saikomania halikupigi chenga, unakuwa intertwined katika michepuko.

Nne, sio tu kwamba ni psychological phenomena, it is AMBIQUITY!

Sababu nyingine ni wizi wa kukusudia, mfano mass media ikiamua kukukimbiza, inakuwa haina shobo..

Hoja ya mwisho ni kuangalia suala la global trend, maana ni hatari zaidi ukikuta kumbe hayawi hawayi yamèkuwa,

Mwisho kabisa nikutakie ibada njema shehe wangu, Alamsik.
Mkuu umeandika Maneno ya kufikirisha Sana. "Umeshindikana, unamzibua, kutoka nje ya ndoa, umanju, ngonjera, intertwined, michepuko, AMBIQUITY, haina shobo" Shehe wangu umeniacha njia panda.
 
Mkuu umeandika Maneno ya kufikirisha Sana. "Umeshindikana, unamzibua, kutoka nje ya ndoa, umanju, ngonjera, intertwined, michepuko, AMBIQUITY, haina shobo" Shehe wangu umeniacha njia panda.
Usijali, tuko pamoja.
 
Kaka suala la kwenda nje sio suala la kuomba ushauri si wenzio tunahangaika hayo mambo hatupati yaaan ningepata hata chance ya kwenda zambia tu nisingeomba ushauri
 
Back
Top Bottom