Kwema Wakuu,
Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole.
Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost.
Nimepanga ninunue tofali 100 monthly au na zaidi Kulingana na bajet ya 250,000/=.0 Sasa nachoomba kutoka kwenu ni yafuatayo;
1) Mfuko mmoja unaweza kuunga mota kwenye matofali mangapi,
2) Fundi wanaolipwa kwa tofali hua ni kiasi gani kila tofali?
3) Mchanga Tani 3 unaweza kuunga mota matofali mangapi, au mifuko mangapi ?