Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

Kwa iyo unataka kusema nyumba kubwa ya Tofali 3000 unajenga kwa mifuko 60 ? What a joke brother [emoji28]
ulitaka ijengwe kwa ngapi kwa ratio ya motor?. ya 1:5 au 1:4?. hivi vitu viko kwny standard protocol usifikiri ni mambo yakubuni buni au kujipangia soo hakikisha kwanza unaelewa

motor inategemea na size ya ukuta, size ya tofali kujua ratio ya namna gani inatumika kwahio tunapo zungumza mfuko mmoja kwa tofali 50. hatujaitoa hewani hiyo
 
Ningekushauri upatanie bei yote ya boma lakini naona una kikwazo cha bajeti yako hairuhusu unajenga kwa awamu.

1. Bei ya fundi kwa kutwa inategemea na ubora pamoja usafi wa kazi na speed.

Day ya fundi huanzia 25k angalau ajenge sio chini ya tofali 120 na kuendelea

2. Fundi msaidizi hulipwa 15k kwa siku

3. Bei ya tofali huanza 350 hadi 450.

Bado inategemea na ubora wa fundi so bei hiyo inaweza kuzidi.

Note; asikudanganye mtu ukapewa fundi wa chini ya bei hizo ujue ubora wake ni duni
Watu wengi wanajisifu kujengewa kwa bei ndogo but ukweli kwamba eidha wanaibiwa vifaa au kazi haina ubora na suala la muda nyufa zianze kujitokeza.
Na wewe hadi uibiwe unakuwa wapi muda huo?
 
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48

Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.

Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu
Kumbuka ratio ya mortar ikiwa kali kuzidi ratio ya plaster, ukuta utaacha alama za mistari ya mortar pindi ukuta utakapoloa na mvua hata kama ukuta umepigwa plaster. Kawaida plaster ya nje, huwa inatumika ratio ya 1:8, site mfuko mmoja unahesabika kama ndoo mbili kubwa hivyo ratio itakuwa ni sawa na 1:4
Ratio ya mortar kwa kawaida inatakiwa iwe ndogo kuliko ratio ya plaster na mara nyingi huwa inatumika 1:6 kwa maana ya mfuko mmoja wa cement kwa ndoo 12 za mchanga
 
Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????


Umu ndan kuna uongo mwingi sana kuhusu kujenga
Duuh!!! Mkuu ndoo ndogo 30 ni sawa na ndoo kubwa 20, maana yake mchanganyo wako/ratio ni 1:10, hapana hii hata zege chafu/blinding haikidhi.
 
Duuh!!! Mkuu ndoo ndogo 30 ni sawa na ndoo kubwa 20, maana yake mchanganyo wako/ratio ni 1:10, hapana hii hata zege chafu/blinding haikidhi.
Ndoo ndogo 1 inatoa tofari 1
Ndoo ndogo za lita 10 zikiwa 2 ni ndookubwa 1 kwa ujazo wa kawaida.
 
Ndoo ndogo 1 inatoa tofari 1
Ndoo ndogo za lita 10 zikiwa 2 ni ndookubwa 1 kwa ujazo wa kawaida.
Mhhh,
Huku mlikofikia sijaelewa kabisa. Ndoo 1 ni tofali moja tena? Tuongelee kuhusu ratio ya Mota (maungio)
 
Back
Top Bottom