Usisahau kuna mfumuko wa bei.Kwema Wakuu,
Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole.
Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost.
Nimepanga ninunue tofali 100 monthly au na zaidi Kulingana na bajet ya 250,000/=.0 Sasa nachoomba kutoka kwenu ni yafuatayo;
1) Mfuko mmoja unaweza kuunga mota kwenye matofali mangapi,
2) Fundi wanaolipwa kwa tofali hua ni kiasi gani kila tofali?
3) Mchanga Tani 3 unaweza kuunga mota matofali mangapi, au mifuko mangapi ?
Aina za tofali na mota ya kujengea;Kwema Wakuu,
Nataka nianze ujenzi, ila ujenzi wenyewe ni wa pole pole.
Nimepanga nitenge walau 250,000/= monthly iingie kwenye ujenzi. Msingi nimeshaweka bado kunyanyua boma tu. Waiojenga msingi niliwatoa mikoani hivyo wako na bei reasonable ila kuwalaza gesti ilini cost.
Nimepanga ninunue tofali 100 monthly au na zaidi Kulingana na bajet ya 250,000/=.0 Sasa nachoomba kutoka kwenu ni yafuatayo;
1) Mfuko mmoja unaweza kuunga mota kwenye matofali mangapi,
2) Fundi wanaolipwa kwa tofali hua ni kiasi gani kila tofali?
3) Mchanga Tani 3 unaweza kuunga mota matofali mangapi,
Unazungumzia kufyatua tofali au mota (maungio) kaka?Aina za tofali;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48
Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement
Mota wa kujengeaUnazungumzia kufyatua tofali au mota (maungio) kaka?
Ahsante Mkuu,Mota wa kujengea
HakikaAhsante Mkuu,
So Tofali 100 inch 5 kusimama ni Mifuko miwili ya Cementa roughly, itakasoro kidogo.
Poa Mkuu,Hakika
Ningekushauri upatanie bei yote ya boma lakini naona una kikwazo cha bajeti yako hairuhusu unajenga kwa awamu.Poa Mkuu,
Na vipi gharama za ufundi labda?
Site ni Dar, Wilaya ya Kinondoni.
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48
Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.
Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu
Tofali za udongo?Uongo huo mfuko wa cement unajenga tofar 100 -120 mzee kufyatua Tofar ndo ratio iyo mzee
chief unazungumzia tofali hizi hizi za block au?!!!. hakuna mahali duniani utajenga kwa mfuko mmoja tofali yeyote ya block kwa tofali 100 kama akivyosema chief hapo wastani ni tofali 50 kwa mfuko hiyo ni standardUongo huo mfuko wa cement unajenga tofar 100 -120 mzee kufyatua Tofar ndo ratio iyo mzee
Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????chief unazungumzia tofali hizi hizi za block au?!!!. hakuna mahali duniani utajenga kwa mfuko mmoja tofali yeyote ya block kwa tofali 100 kama akivyosema chief hapo wastani ni tofali 50 kwa mfuko hiyo ni standard
chief unazungumzia tofali hizi hizi za block au?!!!. hakuna mahali duniani utajenga kwa mfuko mmoja tofali yeyote ya block kwa tofali 100 kama akivyosema chief hapo wastani ni tofali 50 kwa mfuko hiyo ni standard
Unazungumzia kufyatua tofali au mota (maungio) kaka?
Aina za tofali na mota ya kujengea;
1. Tofali za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 30 hadi 35
2. Tofali za kusimama za inch 6...mfuko mmoja hujenga tofali 40 jadi 45
3. Tofali za inch 5...mfuko mmoja hujenga tofali 45 hadi 48
Hii inategemea na ratio ya cement.
Hapa nimepigia ndoo 8 za mchanga kwa mfuko mmoja wa cement.
Note; makadirio haya ni kwa ujenzi wa nyumba zetu za kawaida tu.
1. Haihusiani na majengo ya serikali au
2. Majengo makubwa hayo yana ratio tofauti na huu
kuwa kwny ujenzi si tatizo unaweza ukawa kwenye ujenzi na usielewe standard taratibu za ujenz. wewe uko kwny ujenz now wengine ndo maisha yetu kila siku ipitayo leo tunajenga.Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????
Umu ndan kuna uongo mwingi sana kuhusu kujenga