Naomba Kujua Gharama Mbalimbali za Ujenzi

Kwa iyo unataka kusema nyumba kubwa ya Tofali 3000 unajenga kwa mifuko 60 ? What a joke brother [emoji28]
ulitaka ijengwe kwa ngapi kwa ratio ya motor?. ya 1:5 au 1:4?. hivi vitu viko kwny standard protocol usifikiri ni mambo yakubuni buni au kujipangia soo hakikisha kwanza unaelewa

motor inategemea na size ya ukuta, size ya tofali kujua ratio ya namna gani inatumika kwahio tunapo zungumza mfuko mmoja kwa tofali 50. hatujaitoa hewani hiyo
 
Na wewe hadi uibiwe unakuwa wapi muda huo?
 
Kumbuka ratio ya mortar ikiwa kali kuzidi ratio ya plaster, ukuta utaacha alama za mistari ya mortar pindi ukuta utakapoloa na mvua hata kama ukuta umepigwa plaster. Kawaida plaster ya nje, huwa inatumika ratio ya 1:8, site mfuko mmoja unahesabika kama ndoo mbili kubwa hivyo ratio itakuwa ni sawa na 1:4
Ratio ya mortar kwa kawaida inatakiwa iwe ndogo kuliko ratio ya plaster na mara nyingi huwa inatumika 1:6 kwa maana ya mfuko mmoja wa cement kwa ndoo 12 za mchanga
 
Kaka Nipo kwenye ujenzi now ninachoongea ndo na practice tunadanganyana sana humu ndan standard mfuko mmoja wa cement unachanganya na ndoo ndogo 30 za mchanga sasa apo mkuu utajenga Tofali 50????


Umu ndan kuna uongo mwingi sana kuhusu kujenga
Duuh!!! Mkuu ndoo ndogo 30 ni sawa na ndoo kubwa 20, maana yake mchanganyo wako/ratio ni 1:10, hapana hii hata zege chafu/blinding haikidhi.
 
Duuh!!! Mkuu ndoo ndogo 30 ni sawa na ndoo kubwa 20, maana yake mchanganyo wako/ratio ni 1:10, hapana hii hata zege chafu/blinding haikidhi.
Ndoo ndogo 1 inatoa tofari 1
Ndoo ndogo za lita 10 zikiwa 2 ni ndookubwa 1 kwa ujazo wa kawaida.
 
Ndoo ndogo 1 inatoa tofari 1
Ndoo ndogo za lita 10 zikiwa 2 ni ndookubwa 1 kwa ujazo wa kawaida.
Mhhh,
Huku mlikofikia sijaelewa kabisa. Ndoo 1 ni tofali moja tena? Tuongelee kuhusu ratio ya Mota (maungio)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…