Naomba kujua gharama ya kuanzia biashara ya mabango ya 3D na 2D

Dah! Kumbe haya ndiyo mabango ya 2D na 3D!! Ngoja tusubiri wadau waje. Hata mimi natamani kufahamu mchakato wake jinsi ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…