Naomba kujua haya Mawe yanapatikana wapi?

Naomba kujua haya Mawe yanapatikana wapi?

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Karibu kwa anaefahamu.

FB_IMG_1625589814486.jpg
FB_IMG_1625589904981.jpg
FB_IMG_1625589863553.jpg
FB_IMG_1625589863553.jpg

Mkuu hayo mawe yanapatikana RUAHA MBUYUNI mkoani IRINGA... kama una mtu pale muuagize atakuletea.. yapo mengi sana na huwa wanauza pembeni tu ya barabara ya MBEYA-DAR

Pale ni uhakika, na huwa wanapima kwa ndoo ya 20Lt
Thanks
 
Very True... Huwa nayaona pia nipitapo njia hiyo ya dar-iringa-mbeya
 
Mawe Hayo Kuna Eneo Barabarani Ukiwa Dodoma Hasa Hasa Baada Ya Kutoka Gairo Yapo Mengi
 
Mwenye contact na anae Uza au mwenye kujua Bei please share
 
  • Thanks
Reactions: RUT
Mkuu hayo mawe yanapatikana RUAHA MBUYUNI mkoani IRINGA... kama una mtu pale muuagize atakuletea.. yapo mengi sana na huwa wanauza pembeni tu ya barabara ya MBEYA-DAR

Pale ni uhakika, na huwa wanapima kwa ndoo ya 20Lt
Thanks
Nayaonaga hayo meupe ,ila hayo mekundu sijawahi yaona pale Ruaha
 
Awe Makini na wabongo ataletewa yaliyopakwa rangi

Yale mawe yapo wanauza barabarani kabisa,, akitaka kitonga sawa ila kama anayahitaji kweli aende pale yanauzwa bei rahisi sana..

Kwa Dar es Salaam yanapatikana KAWE,, karibu na St Laurent, Upande wa chini ile barabara inayoenda mbeza kutokea Tanganyika pakers
 
Back
Top Bottom