Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
FB_IMG_17390186120710468.jpg
toa sababu
 
Mbona mm naona sawa unawezaje kugundus picha ni Al
Angalia sehemu kama macho kwenye vidole au features ndogo ndogo za binadamu, mara nyingi AI huwa haina attention to detail (sio kwamba haiwezi kufanya hivyo, bali mara nyingine ni katika ku save computing power) hizi ni calculations ambazo zinatumia resources hivyo huwa kuna kurashia rashia linapokuja suala la vitu vidogo vidogo...

Ingawa things are getting better ndio maana leo hata ukiona kitu gani kama kina defy logic basi uwezekano mkubwa ni AI
 
Asante Kwa maelekezo hiv Huwa wanalipia kutengeneza hizo picha naona ni km ni vingi sikuhiz
 
Hapana, wewe ukitaka unaweza kujiunga kwenye akaunti za Text to Image; zipo nyingi sana, unaweza ukawa unapewa credits labda kwa siku kutengeneza picha 10 au mpaka mia au unapewa credits mia kwa siku..., ingawa ukitaka zaidi au features zaidi mfano kupata matokeo kwa muda mfupi unaweza ukawa unasubscribe kwa pesa.

Na sio picha tu sasa hivi kuna voice cloning unaweza kulipia ukawa unaongea kwa sauti yako ila mwisho wa siku unamclone Obama au Trump...

We are living in very interesting times......
 
Kwanza mtoto wa kuchonga kitu kama hicho hayupo!
 
Eeh Dunia imekuwa Sasa kumbe mambo ndio yamekuwa hivo sijawah kuexprience kutumia al naona watu Wana app mm natumiaga chatGPt
 
Zote ni AI sasa wakati ChatGPT yenyewe inatumia AI kwa kuchat na binadamu yaanu unaiuliza inakujibu (kutokana na kutumia database ya information zilizopo tayari) hii ya picha ni Text to image (yaani unaiambia unachotaka yenyewe inaleta picha) sasa ingawa kuna text to speech (wewe unaandika inaongea) pia kuna Voice Cloning wewe unaongea unavyotaka inabadilisha sauti na kutumia ya actor fulani...; Vyote hivi ingawa vipo tangia zamani ila vinazidi kuwa bora zaidi; na zinajifunza kutokana na matumizi (yaani they became better and better) kwahio computing power itakavyozidi kuongezeka ndivyo matokeo yatazidi kuwa bora...
 
Ooh kumbe sawa nayo ni Al
 
Back
Top Bottom