Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Chuga moko..!Kama wewe mtoa mada n mwanamke, hongera sana, huyo chalii ni fyade.
Kama wewe mtoa mada ni mwanaume, pole sana, huyo manzi ako kama anakila dry bila kushabu bas jua kuna mwamba anakusaidia maana we na u sober wako hutaweza kukuna kipele iliowashiwa kisheri.