Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

Na Kuna wimbo unaimbwa hivi:
"Umeskia inakuwa ngumu na kavu ikiingia
Utamu unazidi ikigusa mashavu we umesikia
Unaingiza unaitoa umesikia
Mwambie mwenzako maajabu ya bigjii"

Umesikia mboso zuchu anamuweka kwenye kolabo ya wimbo unaofuata"

Huu wimbo kaimba nani?
 
Mimi naomba kama mtu anaujua ule wimbo wa hivi

Ntiriri ttititi ntrii ndundu ntririri triii......ndundun
 
Kuna nyimbo za zamani kuzipata ni ishu kwenye internet.
Kuna kwaya miaka ya nyuma kidogo nilipenda sana japo nilikuwa sijaanza kujua kusoma.
Baada ya kizazi cha intaneti nimetafuta hizo nyimbo nimekosa.

Kwenye kava la kanda jinsi walivyokaa na rangi nakumbuka mpaka leo japo ilikuwa mwaka 2000.
 
Back
Top Bottom