Mesorphine
Member
- Oct 11, 2020
- 56
- 36
ngoja wajeHello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa
Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile nahitaji Ila naweza fika Arusha au kati ya Arusha na moshi kununua hivyo nilikua naomba kama kuna mtu anafaham ata maduka yao kama yalivyo ya Infinix na tecno anisaidie location.
Ahsanten sana
pamojaaa.........ngoja waje
Thanks sana ndgu.......Arusha kuna maduka mengi yanauza oppo. Labda kama watakuwa na version ambazo huzihitaji. Kuanzia friends corner barabara ya jogoo house upande wa kulia kuna maduka wanauza Oppo. Stand kubwa upande wa Hotel Aquiline pia na kule maeneo ya kariakoo hutakosa. Tigo shop pia zinakuwepo moja moja.
Update. Nimepita nikiwa kwenye gari maeneo ya stadium pia nimeona maduka mengine mawili yamepigwa chata za oppo..Thanks sana ndgu.......
Ahsante sana...mana nilikua nawaza nikasem nisije jipeleka then nikakosa nilichohitaji...mana najua nikikuta version mbal mbal itanipa nafasi zaidi ya machaguoUpdate. Nimepita nikiwa kwenye gari maeneo ya stadium pia nimeona maduka mengine mawili yamepigwa chata za oppo..
--------------------------
Arusha kuna maduka mengi yanauza oppo. Labda kama watakuwa na version ambazo huzihitaji. Kuanzia friends corner barabara ya jogoo house upande wa kulia kuna maduka wanauza Oppo. Stand kubwa upande wa Hotel Aquiline pia na kule maeneo ya kariakoo hutakosa. Tigo shop pia zinakuwepo moja moja.