Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa

Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la AJIRA? Au Kuna namna nitatakiwa kufanya?


Msaada hapo wakuu
 
Hazitambuliki.

Ukitaka uhakika soma Open University online courses/distance learning courses/ virtual learning courses. Pia unaweza kusoma online courses kutoka kwenye vvyuo vingine vya hapa Tanzania ambavyo vina usajili kamili wa TCU/NACTVET.
NB:
Hata hivyo online courses kutoka kwenye hiyo mitandao uliotaja inakubalika sana nje ya nchi(Ulaya, America, na Asia). Pia unaweza kusoma binafsi kujiongezea soft skills. Utapata ufanisi mkubwa sana kwenye kazi zako.
Kila la heri.
 
Back
Top Bottom