Naomba kujua kitu wana jamii

Naomba kujua kitu wana jamii

Hammer11

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2024
Posts
1,518
Reaction score
2,174
Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
 
  • Nyie ndio ambao hamtakiwi huko Marekani; mnaenda mkiwa wajawazito ili mtoto akizaliwa huko apate uraia wa huko.​
  • Tembelea ofisi ya uhamiaji iliyo karibu nawe.​
Sasa mpaka niende nae uhamiaji
 
Back
Top Bottom