Naomba kujua kiwango cha mshahara wa Wahudumu wa Afya ngazi ya jamii

Jau sana ase mi mwenyewe nipo njia panda maana hata huko mafunzoni sijaona hata posho ni malazi na chakula tu
sisi kwetu wanakarbia kuja wakinichagua aah miezi mitatu tu mimi yuleee laki ndogo sana aisee khaa hata kama
 
Hao kwa kawaida wapo katika makundi mawili wa kwanza ni Optimized PITC -huyu yeye analipwa TSH 150,000/= kama sehem ya posho kwa mwezi pia anaingia Kila siku kazini na sio mshahara kutokana na necha ya mradi. Pia kundi la pili wanaitwa CBHS hao kwa taratibu huwa wanaingia siku za clinic tu mfano jumanne na alhamis kwa nature ya kituo husika pia wanalipwa TSH 60,000/= kama sehem ya posho Yao kwa mwezi. Nazani umeelewa vyema ndugu.
 
Duuh kama ni hivi kwel Bora ata nisingejisumbua kuomba an 150k na kila siku kazn 😂
Hao kwa kawaida wapo katika makundi mawili wa kwanza ni Optimized PITC -huyu yeye analipwa TSH 150,000/= kama sehem ya posho kwa mwezi pia anaingia Kila siku kazini na sio mshahara kutokana na necha ya mradi. Pia kundi la pili wanaitwa CBHS hao kwa taratibu huwa wanaingia siku za clinic tu mfano jumanne na alhamis kwa nature ya kituo husika pia wanalipwa TSH 60,000/= kama sehem ya posho Yao kwa mwezi. Nazani umeelewa vyema ndugu.
N
 
Back
Top Bottom