Naomba kujua kuhusu Akuzamu International Church

ComputersDAR

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
213
Reaction score
242
Wasalaam wana jamvi

Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.

Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.

Asanteni.
 
Kama una ile imani ya kutaka kuona miujiza,kwamba mtu asimame katikati ya ibada atoe ushuhuda aseme nilikuwa sipati mimba leo nina mtoto,nilikuwa siwezi kutembea lakini leo kwa maombi ya nabii fulani (hapa hatajwi Mungu) natembea nenda.

Hayo makanisa yapo kila kona ni nauli yako muda na sadaka tu.
 
Okay. Sipo huko mkuu
 
Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho
 
Uzuri wa yule nabii wao ni tajiri sana kibiashara. Miaka zaidi ya kumi iliyopita wakati anaanzisha huduma alikuwa anavuta Volkswagen moja ya 100m+

Jamaa ni smart sana najua ana hotel na maduka ya vitu vya UK kule mjini posta.
 
Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho
Wanafundishaje ilihali woa wenyewe Hawana majibu ya haya👇

🤭Yohana 14:9 “Yesu akamwambia, Aliyeniona mimi amemwona Baba;

🙄 Hes 23:19
Mungu si mtu,
 
Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho

Na hela juu, ukiingia kanisani mkavu utatolewa kwa mateke na ngumi! Kwenye biashara hapendwi mtu! Inalipa sana biashara ya dini za matapeli!
 
Nimeona insta account ya hilo kanisa Mchungaji anaitwa Edward Amiri. Huyu jamaa ana professional background gani? Kwahiyo wengi kama nimeelewa hoja zenu vizuri ni kwamba hili kanisa limekaa kibiashara/kitapeli zaidi?
 
Wasalaam wana jamvi

Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.

Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.

Asanteni.

Ukiingia hayo makanisa bila hela utanyukwa vibao na mateke hadi unajamba!
 
Kama una ile imani ya kutaka kuona miujiza,kwamba mtu asimame katikati ya ibada atoe ushuhuda aseme nilikuwa sipati mimba leo nina mtoto,nilikuwa siwezi kutembea lakini leo kwa maombi ya nabii fulani (hapa hatajwi Mungu) natembea nenda.

Hayo makanisa yapo kila kona ni nauli yako muda na sadaka tu.
Weka picha itatusaidia kama ndilo unalolizungumzia.
 
Tunakoelekea sio kuzuri. Itafika siku mtu ataomba kujua jinsia yake
 
Back
Top Bottom