ComputersDAR
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 213
- 242
Okay. Sipo huko mkuuKama una ile imani ya kutaka kuona miujiza,kwamba mtu asimame katikati ya ibada atoe ushuhuda aseme nilikuwa sipati mimba leo nina mtoto,nilikuwa siwezi kutembea lakini leo kwa maombi ya nabii fulani (hapa hatajwi Mungu) natembea nenda.
Hayo makanisa yapo kila kona ni nauli yako muda na sadaka tu.
Muhimu kujua kablaHakuna tatizo. Ukitaka kujua utamu wa ngoma, iusikae nje bali ingia ndani ukacheze.
Wanafundishaje ilihali woa wenyewe Hawana majibu ya haya👇Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho
Akuzamu maana yake ni Amri kuu za Mungu, ni kanisa la kinabii linalotoa huduma ya kiroho kwa kufundisha Neno, maombezi na unabiii... ni sehemu salama ya kukua kiroho
Wasalaam wana jamvi
Nimekuwa nikipita bango la Akuzamu International Church maeneo ya njia panda ya Bahari Beach kila mara.
Naomba kujua zaidi kwa mwenye undani au ufahamu wa hili kanisa.
Asanteni.
Aisee? Mbona kwenye video na picha mitandao ya kijamii ni watu wa kawaida tu? Vijana wengiUkiingia hayo makanisa bila hela utanyukwa vibao na mateke hadi unajamba!
Weka picha itatusaidia kama ndilo unalolizungumzia.Kama una ile imani ya kutaka kuona miujiza,kwamba mtu asimame katikati ya ibada atoe ushuhuda aseme nilikuwa sipati mimba leo nina mtoto,nilikuwa siwezi kutembea lakini leo kwa maombi ya nabii fulani (hapa hatajwi Mungu) natembea nenda.
Hayo makanisa yapo kila kona ni nauli yako muda na sadaka tu.