Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Nilitarajia tuwe na mbwa koko wengi sana tangubdunia ilipoanza, kwasababu wengi wana tabia mbovu na watu wanakufa kila siku, tena wengine kw matendo wangekua ata mende bt still watu ndo wanaongezeka instead ov wanyama, datz wrong faith... Au wataka nambia wema ni wengi kuliko wabaya duniani? Au pia hiyo ni kwa mabudha tu? Kama ni kwa mabudha tu, basi imani mbayo haina mwongozo kwa binadamu wote hio ni imani dhaifu... Haipaswi kufwatwa
 
Sasa hawa mbwa koko wanaokula uchafu majalalani watawezaje kubadilisha karma zao na kuibukia kuwa Bill Gates in their AFTER-LIVES?
...umewahi kusikia kile kisa cha mbwa aliyemuokota mtoto akiyetupwa kichakani na kumleta mahali salama..?!.
.....connect the dots
 
...umewahi kusikia kile kisa cha mbwa aliyemuokota mtoto akiyetupwa kichakani na kumleta mahali salama..?!.
.....connect the dots
Oooooh, kumbe yule ndie huyu Bill Gates wa sasa. Naona wanavyofanana katika kuwasaidia sisi maskini tulioko kwenye hizi shithole countries.

Nimekuelewa mkuu.
 
Mkuu, hiyo samsara ndio incarnation nnayoifahamu mimi?!
 
Oooooh, kumbe yule ndie huyu Bill Gates wa sasa. Naona wanavyofanana katika kuwasaidia sisi maskini tulioko kwenye hizi shithole countries.

Nimekuelewa mkuu.
.....ulicho andika na nilichomaanisha ni tofauti kabisa.
.....umeandika nonsense kabisa
 
na kama ulikuwa mbwa ukifa waweza zaliwa nani?
 
Dah asee
 
Sasa hawa mbwa koko wanaokula uchafu majalalani watawezaje kubadilisha karma zao na kuibukia kuwa Bill Gates in their AFTER-LIVES?
Dah nimecheka kweli kweli. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila siko deep sana kwenye hiyo imani najua basics tu labda nikiisoma vizuri nitaleta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…