Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Buddha na Yesu nani kazaliwa mapema mkuu.
...nadhani umemchanganya na Mohammed aliyezaliwa karne ya 6...ila Buddha to my knowledge kazaliwa BC
Mh ok pengine ni sahihi ngoja nirejee vyanzo vyangu
 
Buddha na Yesu nani kazaliwa mapema mkuu.
...nadhani umemchanganya na Mohammed aliyezaliwa karne ya 6...ila Buddha to my knowledge kazaliwa BC
Karne ya sita
Mkuu Mshana ndie huyu...
Gautama Buddha[note 3] (c. 563/480 – c. 483/400 BCE), also known asSiddhārtha Gautama,[note 4] Shakyamuni Buddha,[4][note 5] or simply the Buddha, after the title of Buddha, was an ascetic(śramaṇa) and sage,[4] on whose teachings Buddhism was wounded.[5] He is believed to have lived and taught mostly in the eastern part of ancient India sometime between the 6th and 4th centuries BCE.[6][note 6]
 
....hivi ndivyo ninavyojua hata mimi mkuu,
....labda angesema karne ya 6 BC
 
kwa karma yako.wazan zaman ww ulikua nan
 
ha haha
 
Eee kokoooo 😱 😱 😱 😎 😎 😎 😎
 
At least uzi huu umenisaidia kugunduwa wanaoshabikia ccm leo hii, basi waliwahi kuishi hapo kabla yakiwa kama mambwa au farasi au misukule iliyofia kwa wachawi ikazikiwa hukohuko na wachawi na baadae nafsi zao zikazaliwa tena, hapo ndipo kizazi cha wanaccm kilivyopatikana.
 
Vp wale wafuasi wa Muddy wanaoamini kuwa ukiua Kafri unapata thawabu kwa Mungu na unaandaliwa mwanamwali mzuri tena bikra...,

Is that a right faith...????
Ni iman sahihi kulingana na vitabu kafiri maana yake mpingaji ata wana waisrael waliwaua wengi waliowapinga walipokuwa wanakwenda nchi ya ahadi tena kwa msaada wa Mungu ila kibinadamu akili inakataa
 
Mkuu unataka kusema kwamba watu waliyozaliwa tena wanajua kuwa wamezaliwa tena duniani?
 
Yes kuendana na nadharia hii hivyo maisha unayoishi sasa ni matokeo ya maisha uliyoishi hapo kale!! Kwahyo kma sahivi ni mpiga debe pambana na hali yako 😀😀
Kwa maana hiyo duniani tupo kwa idadi kamili na ndiyo tunafanya mzunguko wa kufa na kuzaliwa tena?
 
Mkuu unataka kusema kwamba watu waliyozaliwa tena wanajua kuwa wamezaliwa tena duniani?
Ukifanya tafakari ya kina utajua tu ulipotoka na utapakokwenda..... Naposema tafakari sio huku unasikiliza nyimbo ya diamond hapana ila meditation haswaaa ambayo akili inahama kabisa kiasi kwamba hta lolote linaloendelea dunianu hulusikii hapo ndio utagundua that's according tu budhists lasihivyo utaendelea kuzunguka kwenye tabu maisha yote whether utazaliwa syria utandikwe bomu alafu unazaliwa somalia ukimbizane na al shabaab dah si mchezo
 
Kwa maana hiyo duniani tupo kwa idadi kamili na ndiyo tunafanya mzunguko wa kufa na kuzaliwa tena?
Hapo sina takwimu sahihi ila sidhani kama idadi ni hiyo hiyo..... ingekuwa hivo tusingetoka kuwa billion 1 hadi tufike billion 7 leo hii...... Nafkiri wengine pia wanazaliwa na wengine pia wamejitoa kwenye mzunguko baada ya kufanya maungamo na kutafuta ukamilifu kwa kufuata zile kanuni 7
 
kwa karma yako.wazan zaman ww ulikua nan
Am enjoying my life so nadhani maisha yaliyopita nilikuwa mtu mwema sana ila nimerudi kwenye maisha ya mzunguko sababu sikufuata 8 fold paths ambayo ndio misingi mikuu ya imani yao..... Ila kama ningekuwa kibaka maisha yaliyopita nafkiri leo hii ningezaliwa kwenye ukanda wa gaza ambako ingetakiwa nikwepe mabomu na risasi kila kukicha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…