Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Naomba kujua kuhusu Siddhartha Gautama (Buddha)

Nilitarajia tuwe na mbwa koko wengi sana tangubdunia ilipoanza, kwasababu wengi wana tabia mbovu na watu wanakufa kila siku, tena wengine kw matendo wangekua ata mende bt still watu ndo wanaongezeka instead ov wanyama, datz wrong faith... Au wataka nambia wema ni wengi kuliko wabaya duniani? Au pia hiyo ni kwa mabudha tu? Kama ni kwa mabudha tu, basi imani mbayo haina mwongozo kwa binadamu wote hio ni imani dhaifu... Haipaswi kufwatwa
haijawahi kutokea imani yenye muongozo kwa binaadamu wote,kila imani inakinzana na ingine kwa baadhi ya watu.
 
At least uzi huu umenisaidia kugunduwa wanaoshabikia ccm leo hii, basi waliwahi kuishi hapo kabla yakiwa kama mambwa au farasi au misukule iliyofia kwa wachawi ikazikiwa hukohuko na wachawi na baadae nafsi zao zikazaliwa tena, hapo ndipo kizazi cha wanaccm kilivyopatikana.
Hata mashabiki wa Alikiba mwanzo walikua ma Fidi bila kusahau Chadema
 
Back
Top Bottom