NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
haijawahi kutokea imani yenye muongozo kwa binaadamu wote,kila imani inakinzana na ingine kwa baadhi ya watu.Nilitarajia tuwe na mbwa koko wengi sana tangubdunia ilipoanza, kwasababu wengi wana tabia mbovu na watu wanakufa kila siku, tena wengine kw matendo wangekua ata mende bt still watu ndo wanaongezeka instead ov wanyama, datz wrong faith... Au wataka nambia wema ni wengi kuliko wabaya duniani? Au pia hiyo ni kwa mabudha tu? Kama ni kwa mabudha tu, basi imani mbayo haina mwongozo kwa binadamu wote hio ni imani dhaifu... Haipaswi kufwatwa