Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
Habari waungwana,
Mimi nilisoma udereva katika chuo kimoja cha veta cha serikali huku kaskazini mwaka 2018 na kupewa leseni Class D,
Sasa nina taka kwenda kusomea tena kwa ajili ya kupata leseni Class C, sasa nilikua nimepata fununu kua vyuo vya veta vya serikali havitoi Class C mpaka NIT Dar,
Sasa kama ni hivyo mbona pale nikisoma walikua na magari mabasi makubwa ya Yutong na Costa kwa ajili ya mafunzo na hayo najua fika kua ni kwa ajili ya mafunzo ya udereva wa Class C,
Napenda kujua kua ni lazima niende Dar es Salaama kwa ajili ya kusomea Class C au hata hapa kaskazini kwenye hichi chuo cha serikali cha veta naweza fanikisha?
Ushauri wenu ni muhimu.
Asanteni.