Naomba kujua kwanini Members wengine hapa wana Followers wengi na Wengine pamoja na Kujitutumua Kwetu JF bado hatuna hata Mmoja tu?

Kuna kitu unashindwa kuelewa!!

Fake ids zinaonyesha internal persona ya mtu,yaani uwezo wa ndani Yako na influence kwa wengine na nafsi zao kukuhusu!!

Kama una kipawa fulani IDs zitakupa uhakika wa hicho ulicho nacho ndani yako!!

Kupata followers wengi ni dalili ya kukubalika kwenye nafsi za wengi yaani una mvuto mkubwa kwao!!

Kupata likes nyingi kama Mimi ninavyozipata ni dalili kuwa uelewa wako umewavutia wengi yaani uwezo wako wa iufikiri unakubalika na wengi, na unafaa kuwa mshauri mzuri na kiongozi Au kutatua changamoto za watu wanazopitia!!

Ukipata likes za vicheko vingi maana yake wewe ni entertainer mzuri!!

Kifupi reactions za watu Kukuelekea wewe hueleza kwa kina nguvu na uwezo wako uliofichika!na huo mvuto Hauna favoritism yeyote coz ya fake IDs!!!

Kama reactions ni kidogo that means na mvuto ni mdogo!!

Kifupi hiyo ndio true self of yours Mkuu!!
 
Bff hapo umeongea 😍😍😍
Tukavae vikamba kamba sie tushinde tunaswim km samaki!!
Stress tupa kule πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wamama wazee wanavaaga hizo pia??πŸ€”πŸ€”πŸ€£!
Mtanuchagulia ya kizee nzuree namie niswim mnaita🀣!
 
Wamama wazee wanavaaga hizo pia??πŸ€”πŸ€”πŸ€£!
Mtanuchagulia ya kizee nzuree namie niswim mnaita🀣!
Zote zipo udugu, tena wewe na hilo hips plus wowowo sijui itakuwaje?!! 🀣🀣🀣
Itabidi sponsor wetu Sir Midabwada asicheze mbali watambebea goma lake 🀣🀣🀣
 
Uje na kitenge cha wawata 🀣🀣🀣
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Weee Nikija nacho nakikata robo nafunga kiunoni upande paja moja libaki nje kama kina maua namechisha rangi ya maua na bra usintantieee cousin hata kama nimeeka ndio kitenge cha wawata sasaπŸ˜‚
 
Zote zipo udugu, tena wewe na hilo hips plus wowowo sijui itakuwaje?!! 🀣🀣🀣
Itabidi sponsor wetu Sir Midabwada asicheze mbali watambebea goma lake 🀣🀣🀣
Ntaua mtu aseee... Kwa namna moyo wangu ulivyoraruriwa na kusi ya huba na wimbi la mashamsham ya kitang'ata.

Ndugu yangu Lamomy si mchezo
 
Ntaua mtu aseee... Kwa namna moyo wangu ulivyoraruriwa na kusi ya huba na wimbi la mashamsham ya kitang'ata.

Ndugu yangu Lamomy si mchezo
Mnanijazana tu nahuyo Lamomy wako mshamba tu mie
Zote zipo udugu, tena wewe na hilo hips plus wowowo sijui itakuwaje?!! 🀣🀣🀣
Itabidi sponsor wetu Sir Midabwada asicheze mbali watambebea goma lake 🀣🀣🀣
Uduguuu hii kejeli Sijapentaaa!
Hips nitoe wapi mimi! Nipo tu kama sanamu la Michelin hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…