Naomba kujua kwanini whatsapp GB inaomba udownload official apps? GB inaondolewa?

Mlikua wambea sana..mtu umekosea umetuma kwa bahati mbaya status umefuta ndani ya sekunde chache ila mwenye watsup GB baadae anacomment hyohyo status anakuuliza..unamuuliza ww vipi mbona nimefuta..anakujibu hii ndo watsup GB kubwa la maadui 😂 😂 😂 😂
 
Kuna jamaa namuheshimu sana alipost x kwenye status akafuta ila kwetu ikabaki hadi 24hrs 🤣🤣🤣
 
Namba zinazotumia GB/FM WhatsApp zimepigwa ban kutumia official WhatsApp app mpaka uiache kwa muda ikiwa haipo WhatsApp
Mi yangu ilikubali hapo hapo bila shida kutok fm.whatsap to oficial whatsap
 
Back
Top Bottom