Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

Naomba kujua maeneo mazuri kwaajili ya chakula na kupumzika ndani ya Morogoro

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024.

Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji kasoro bahari), kwa bajeti yangu hii ya laki 5 ni sehemu gani nzuri sana ambayo nitahifurahia sana nikiwa Morogoro kwa siku tatu

Je, kwa bajeti iyo inatosha watu wawili (hatutumii kilevi) ni chakula na kupumzika? Naombeni maoni yenu na mtazamo wenu na ushauri wenu ndugu zangu ndugu zangu.

NOTE: Sina gari private, natumia public car kufika Morogoro.
 
Wanakuja, Ila nadhani title ilibidi isomeke maeneo sio maneno
 
Nilifika Nguzo camp wanajitahidi sana kwa level za kamji

Napenda mazingira nautulivu nguzo camp wanajali hilo

I
 
Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya sh laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhali na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024, Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende morogoro (wanasema mji kasoro bahari), kwa bajeti yangu hii ya laki 5 ni sehemu gani nzuri sana ambayo nitahifurahia sana nikiwa morogoro kwa siku tatu (24, 25 & 26), je kwa bajeti iyo inatosha watu wawili (HATUTUMII KILEVI) ni chakula na kupumzika. naombeni maoni yenu na mtazamo wenu na ushauri wenu ndugu zangu ndugu zangu NOTE: SINA GARI PRIVATE NATUMIA PUBLIC CAR KUFIKA MOROGORO.


Laki 5..? Unakuja kutusumbua huku
 
Ndiyo kusema Mzee wetu amekubali kukupunguzia ule urithi ulioutaka baada ya kuuza nyumba na hivyo umeamua kujipa raha kidogo, au!!!

Kama vipi nenda Mikumi National Park ukaangalie na wanyama.
 
huwo utakuwa ni uharibifu wa hela kama hutumii KONYAGI, tengeneza juice tulia nyumbani
 
Habari za uzima ndugu zangu, ndio tunaumaliza mwaka huu kwa kishindo, baada ya kujichanga ndani ya mwaka huu, nimetenga bajeti ya Tsh. laki 5 kwaajili ya kubadilisha maandhari na kuatafakari mambo mapya kwa mwaka ujao wa 2024.

Baada ya kutafuakari kwa kina nimeona niende Morogoro (wanasema mji kasoro bahari), kwa bajeti yangu hii ya laki 5 ni sehemu gani nzuri sana ambayo nitahifurahia sana nikiwa Morogoro kwa siku tatu (24, 25 & 26)?

Je, kwa bajeti iyo inatosha watu wawili (hatutumii kilevi) ni chakula na kupumzika? Naombeni maoni yenu na mtazamo wenu na ushauri wenu ndugu zangu ndugu zangu.

NOTE: Sina gari private, natumia public car kufika Morogoro.
Kwa bajeti hiyo nendeni Dumila mkale mahindi ya kuchoma.
 
Halafu eti hizo laki 5 kwa siku tatu tena za sikukuu watu wawili!
Huyo atakuja kuibia wateja lazima.

Watu waone tu, ujue hajui kabisa hiyo hela haitoshi hata kidogo tena wako wawili eti ku enjoy siku 3 za Sikukuu.

Umaskini usikie kwa watu tu, ni mbaya sana sana hasa wa akili, sbb unaweza kuwa huna hela au unayo, ila umaskini wa akili ndio hatari kuliko chochote dunia hii, na mbaya zaidi ukiwa na umaskini wa akili hujijui, unapuyanga tu, watu wanakushangaa hata hujui, sbb huoni ingawa una macho, uko uko tu, ili mradi unapumua basi, ila uko in a very dark mind which will result in a shocking lifestyle or abnormal life decisions like this one:
 
Daah jf kuna mabumbumbu sana, i thank God am not one of them.
 
Back
Top Bottom