Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
UONGO !!!
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
Mkuu nakubari kahama kuna vitu vzr pia umewahi kufika makambako? Nako kuna viatu vizuri mno grade A bei ni nusu ya ile ya dar
Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale😏!
eish nisiwe negative sana💃💃💃!
Mama, ww ni Google inayotembea walai...ilala nenda saa 4 kamili ndo wanaanza kukata..bel9 zuri.linafika.laki 8...kuna ya 500k.600k 700k 800k grade one na nchi tofauti...naikunbuka brand ya mpira ilikua best...nishasahau thou brand nyingin
it was no by mistake i met you.. namalizia kuweka data sawa sipaswi kuja kwako nikiwa "hili sijui, hili sikuangalia" i I'll call yaNilianza mbali best acha ty
😊😊😊😊 ur welcomeit was no by mistake i met you.. namalizia kuweka data sawa sipaswi kuja kwako nikiwa "hili sijui, hili sikuangalia" i I'll call ya
SAA 4 kamili asubuhi dada? Vp maana mitumba ipo ya nchi nyingi hivi nchi gani mitumba mizuri sana na mabelo yake yanapendwailala nenda saa 4 kamili ndo wanaanza kukata..bel9 zuri.linafika.laki 8...kuna ya 500k.600k 700k 800k grade one na nchi tofauti...naikunbuka brand ya mpira ilikua best...nishasahau thou brand nyingin
SAA 4 kamili asubuhi dada? Vp maana mitumba ipo ya nchi nyingi hivi nchi gani mitumba mizuri sana na mabelo yake yanapendwa
Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
Nashukuru dadaNiwe mkwel nimeanza sahau..nadhan usa is tbe best inafatia china..china wana mixer had 7yrs..ika usa haizid 5yrs
asbh saa 4 uwe pale.. viatu huwa kianzi 11 alfjir had saa4 ashb then wanaanza nguo za watt..nyts
Nashukuru dada
Ndio mkuu nilikuwa nataka kupoint maana mtaji wangu mdogo kuchukua beloLkni nazoongelea mm ni zile za kupoint..sio mabelo mkuu...mabelo muda wwt huko mnazi m1
Ndio mkuu nilikuwa nataka kupoint maana mtaji wangu mdogo kuchukua belo
Nashukuru Dada ubarikiweFanya hvyo mkuu..ukipoint nguo ya 2000 automatic utauza kw 5000 au 4500..
Kuna mwaka nilienda nunua nguo za wanangu ilala...nikapata nguo nyingi sana...nikapitia NBC kwa shost angu nikamuonesha..kifupi nikajikuta naombwa niuze zle nguo...niliuza zoot...ukiweza tembea kitaa utauza sana...
Mbeya wote wanachukulia makambakoMakambako labda wawe wameanza miaka hii ya karibuni...ila Mbeya viatu vipo...!
Sio unegative best. Ulichokiongea, ndio UHALISIA wenyewe wa biashara hiyo.....may be ubahatishe kupata gori, maeneo fulani fulani.Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale[emoji57]!
eish nisiwe negative sana[emoji126][emoji126][emoji126]!
Sio unegative best. Ulichokiongea, ndio UHALISIA wenyewe wa biashara hiyo.....may be ubahatishe kupata gori, maeneo fulani fulani.