Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

Naomba kujua mambo yakuzingatia kwenye biashara ya mtumba

Sijajua km kuna mkoa unauza raba kali sana grade A km Kahama! Raba inayouzw dar kwa laki 1 au 70 Kahama unauziwa 30/40!ila ndo wanauza vya kiume tu..! hizo raba za watoto sasa[emoji39][emoji39][emoji39]...! viatu vzr mnooo..
[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Mkuu nakubari kahama kuna vitu vzr pia umewahi kufika makambako? Nako kuna viatu vizuri mno grade A bei ni nusu ya ile ya dar

Makambako labda wawe wameanza miaka hii ya karibuni...ila Mbeya viatu vipo...!
 
Uchuuzi tena doooh
Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale😏!
eish nisiwe negative sana💃💃💃!
 
ilala nenda saa 4 kamili ndo wanaanza kukata..bel9 zuri.linafika.laki 8...kuna ya 500k.600k 700k 800k grade one na nchi tofauti...naikunbuka brand ya mpira ilikua best...nishasahau thou brand nyingin
Mama, ww ni Google inayotembea walai...
 
ilala nenda saa 4 kamili ndo wanaanza kukata..bel9 zuri.linafika.laki 8...kuna ya 500k.600k 700k 800k grade one na nchi tofauti...naikunbuka brand ya mpira ilikua best...nishasahau thou brand nyingin
SAA 4 kamili asubuhi dada? Vp maana mitumba ipo ya nchi nyingi hivi nchi gani mitumba mizuri sana na mabelo yake yanapendwa
 
SAA 4 kamili asubuhi dada? Vp maana mitumba ipo ya nchi nyingi hivi nchi gani mitumba mizuri sana na mabelo yake yanapendwa

Niwe mkwel nimeanza sahau..nadhan usa is tbe best inafatia china..china wana mixer had 7yrs..ika usa haizid 5yrs

asbh saa 4 uwe pale.. viatu huwa kianzi 11 alfjir had saa4 ashb then wanaanza nguo za watt..nyts
 
Ndio mkuu nilikuwa nataka kupoint maana mtaji wangu mdogo kuchukua belo

Fanya hvyo mkuu..ukipoint nguo ya 2000 automatic utauza kw 5000 au 4500..
Kuna mwaka nilienda nunua nguo za wanangu ilala...nikapata nguo nyingi sana...nikapitia NBC kwa shost angu nikamuonesha..kifupi nikajikuta naombwa niuze zle nguo...niliuza zoot...ukiweza tembea kitaa utauza sana...
 
Nashukuru Dada ubarikiwe
 
Belo grade 1 la wadada nadhan nw ni 450 had 500k..la watoto grade 1 sijui china nadhan bado ni 700 to 800k! kuna mengne 500k...! ah biashara y mtumba pasua kichwa!
labda atembelee minada yote! lakini kitundika golini mie nauita uchuuzi..unaishia kupata ya kula na ya kukodi room ulale[emoji57]!
eish nisiwe negative sana[emoji126][emoji126][emoji126]!
Sio unegative best. Ulichokiongea, ndio UHALISIA wenyewe wa biashara hiyo.....may be ubahatishe kupata gori, maeneo fulani fulani.
 
Back
Top Bottom