Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
UONGO !!!
mie niliishia kushangaa tu..lol..kwenye mtunba huwez pata faida ya 200k per day bwana..labda ufungie balo 2 uende mnadani.. mara nyingi balo zuru faida ukikaza sana ni 90! ika mengi huwa 50 had 70