Naomba kujua mimi ni kundi gani /mtu wa aina gani

Historia ya maisha yako itafanya mtu akueleze wewe ni nani..vinginevyo hongera kwa kuanza na hatua hii ya kujua una tatizo
 
Kibaka mshenzi.
 
Ngja nigoogle nione Kisha ntafanyia kazi ushauri wako chief
 
Hakuna haja ya pole sababu kwangu sioni kama ni disorder bali it's just a lifestyle, napata muda mwingi kusolve mambo yangu binafsi pia muda wa kutosha kujifunza vitu vipya through articles na site mbalimbali
Ata mimi nachukuliaga it's just a lifestyle na sometimes nafurahi tu but Kuna muda aiseee naona Kama nakuwa kichaaa kabisa ila hakuna siku inawez pita Mimi kusa off mood yaan nafurahi dakika mbili dakika mbili mawazo ayo ndo maisha yangu
 
Maelezo yako yanaenda mbele na kurudi nyuma.
Ww ni mpole mara hapohapo ni mkorofi. Hapohapo una huruma huku unapenda ugomvi. Hapo hapo hupendi kuongea mara huwa unaongea.

Labda tu niseme ww ni kichaa.
Anapenda kukaa peke yake lakini hapohapo anapenda kampani hasa za waliochangamka.......ngumu sana kumuelewa
 
Personality disorders, zinataokana na namna ulivopata malezi utotoni
 
Kidogo tuendane, tumetofautiana vichache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…