Naomba kujua Mmiliki wa Hotel inayokuja kwa Kasi sana Unguja Zanzibar ya Kwanza Hotel

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya ulioko / alionao.
 
mwanya alio nao? Mbona tayari eshajulikana.
 
Nijibuni haraka kwani kwa jinsi ilivyo, ilivyojengwa kwa haraka kuanzia tarehe 21 Machi, 2021 na inavyojaza Watu sasa na Huduma zake na Mimi GENTAMYCINE natamani kwenda, ila ili niende nikiwa na Furaha tele ningependa hasa nimjue Mmiliki wake ili nimpongeze kwani amejua kutumia Fursa na Mwanya ulioko / alionao.
Anaitwa TUKANA UONE
 
Mimi ndiye mmiliki wa hiyo hotel mkuu!

Wakati wenzio tunatumia fursa kujiwekeza wewe kutwa JF kupigizana kelele na vijana wadogo!.

Any way, Nakupa ofa ya kuja kulala na kula bure ukiwa umeambatana na mumeo kwa muda wa siku 14!.

karibu sana mdau!
 
Hii Hotel kuna dogo alipata kazi hapo na wamiliki ni
Screenshot_20231112_174150_Chrome~3.png
 
Back
Top Bottom