buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 4,678
- 11,357
Na nina mkopo. Damn itKwenye PAYE hapo pia angalia tena, sio 46740 ni Tsh 43,800/= Re-check it bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nina mkopo. Damn itKwenye PAYE hapo pia angalia tena, sio 46740 ni Tsh 43,800/= Re-check it bro
Ndio hivo mkuu; Tanzania yetuNa nina mkopo. Damn it
TGS D
TGS D 1. (Sh567,000), TGS D 2. (Sh578,500), TGS D 3. (Sh590,000), TGS D 4. (Sh601,500), TGS D 5. (Sh613,000), TGS D 6. (Sh 624,500), TGS D 7. (Sh636,000), TGS D 8. (Sh647,500), TGS D 9. (Sh659,000), TGS D 10. (Sh 670,500), TGS D 11. (Sh 682,000),na TGS D 12. (Sh 693,500).
Well, Basic salary ni kabla ya makato mfano kodi (PAYE), NHIF, PSSSF, HESLB n.k. Ambapo take home ni ile amount anayopata mtu baada ya hayo makato. Kimsingi, Gross na Basic vina maana sawa.Basic, Gross na take home, vinatofautianaje?
Bodi ya mikopo?TGS D 1
basic salary - 710,000
PSSSF - 35,000
NHIF-21,300
PAYE-46,740
TAKE HOME -606,960
Hata hiyo hawaipati kitaaniSasa kinachowakimbiza watu kwenda government ni nini kama hizi ndizo salary zao?
1. Well, kwa kiasi kikubwa mishahara ya Serikalini inatofautiana sana. Kuna watu wanafanya kazi Serikalini lakini mishahara yao, posho na mazingira yao ya kazi ukiwalinganisha na watumishi wengine unaweza kudhani hii si nchi moja.Sasa kinachowakimbiza watu kwenda government ni nini kama hizi ndizo salary zao?
Sawa mkuu.nimekupata1. Well, kwa kiasi kikubwa mishahara ya Serikalini inatofautiana sana. Kuna watu wanafanya kazi Serikalini lakini mishahara yao, posho na mazingira yao ya kazi ukiwalinganisha na watumishi wengine unaweza kudhani hii si nchi moja.
2. Kwa ujumla, watumishi wa umma wanaofanya kazi kwenye Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Majiji na Wizarani wanatumia scale za mishahara kwa mfumo wa TGS, ambao naweza kusema wanalipwa mishahara midogo kulinganisha na wengine nitakaowaelezea katika point namba 4 hapa chini. Hawa mara nyingi mtu wa degree anaweza kuanza na basic ya 710,000/= au 715,000/= hivi. Hata hivyo, mishahara yao hupanda kila baada ya miaka kadhaa (mara nyingi kila baada ya miaka 3). Huku ndio kunaitwa kupanda madaraja ambako awamu iliyopita iliwanyima hiyo haki yao ya kupanda hayo madaraja kama utakavyokuwa unasikia kelele nyingi huku mitandaoni wanavyosema.
3. Kwa mantiki hiyo, mtumishi anayeanza kazi leo katika level ya degree si sawa na yule mwenye miaka 6 au 9 au 12 kazini. Unaweza kukuta mtu baada ya miaka kadhaa kapandishwa daraja na analipwa mshahara kufikia hata 1.5M au hata 2M.
4. Kama nilivyosema hapo juu kwenye point namba 2, huko serikalini, watumishi wa umma wanaitumikia Serikali moja ila kupitia njia (Waajiri) au channel tofauti tofauti ambazo zinatofautiana kwa kiasi kikubwa sana. Mshahara wa Mtumishi wa Local governament (maarufu kama Halmashauri) si sawa kabisa na Mtumishi wa Mashirika au Taasisi nyingine za Serikali kama vile TANESCO, UWURA, TPDC, HESLB, BOT, TRA, TANAPA, TCRA, VYUO VIKUU, OFISI YA CAG, BRELA, NIMRI, n.k. Watumishi wa hizi Taasisi kwa mazingira ya kazi zao, mishahara yao na posho za hapa na pale, kiufupi unaweza sema wanafanya kazi kwenye private sectors tena zinazosimamiwa na viongozi kutoka nchi za nje. Ila ndio hivyo wote tupo nchi moja. Ukifuatilia kwa undani utajua pia ni kwa nini kuna huo utofauti. Kama unabisha wewe nenda ofisi za NIMRI pale POSTA- DAR, au nenda Ofisi za HESLB- Mwenge, au TCRA - Ubungo Mawasiliano halafu uende na Ofisi ya Manispaa ya Temeke au Ilala uone kama hata tu mazingira ya Ofisi zao kama yapo sawa kisha ulete hapa mrejesho.
4. Jambo lingine linalowapeleka watu Serikalini ni ukweli kuwa huko kuna security kubwa ya kazi ukilinganisha na private sector. Maana yake ni kuwa, ukiwa mtumishi wa umma, hata ukifanya makosa, kuja ukaachishwa kazi process zake ni nyingi kidogo na si rahisi kama ilivyo kwenye private sector ambako unaweza kuwa na kazi leo na wiki ijayo ukawa jobless.
5. Ukweli mwingine ni kuwa, mbali na mishahara, watumishi wengi wa Serikalini wanapata posho za hapa na pale kutokana na extra duties, perdiems za safari kikazi, trainings n.k zinazowaweka mjini. Ndio umesikia pia juzi kuwa zimepandishwa. Kabla ya kupandishwa juzi, mtu wa degree alikuwa anapata posho ya kujikimu laki moja kwa siku akienda safarini kikazi katika sehemu za mikoani au majiji. Sasa unaweza kuta mtumishi ana visafari vya hapa pale kwa mwezi angalau hata mara moja, au akikosa sana ndani ya miezi mitatu hakosi kasafari. Sasa akipata 100K kwa siku mara siku 7 tu tayari ana 700K. Unaona sasa Mkuu?
6. Mtumishi wa Serikalini ana fursa ya kujiendeleza kielimu na akiwa masomoni, ataendelea kupokea mashahara wake na kazi yake akirudi ataikuta. Kitu ambacho ni kigumu sana kwenye Private sectors.
7. Mtumishi wa Umma mbali na fursa ya matibabu kwa BIMA yeye na familia yake ikiwamo wazazi wake, ana fursa ya kuweza kukopa mkopo kwa njia rahisi ukilinganisha na yule wa Private sector.
Kimsingi hizo ni baadhi ya sababu zinazowafanya watu kukimbilia huko Serikalini licha ya mishahara ya kuanzia kuwa midogo ukilinganisha na private sectors.
Aisee....Ndio maana Kila siku nasema, namheshimu sana mtu mwenye biashara au kazi yake, hata kama ni genge na anaingiza 10k Kwa siku. Nampa heshima ya Hali ya juu.
Umeshusha nondo za maana sana kiongozi. Much respects. Hapo umeitaja NAOT lakini Kazi zao walizotangaza hivi majuzi wao pia wanatumia mfumo wa TGS kama wa halmashauri. Nilijiuliza sana coz Ofisi ya CAG ni taasisi ya serikali inayojitegemea the likes of TRA, TPA, TANESCO, TARURA n.k kwa nini mfumo wake wa mshahara ni wa TGS?!1. Well, kwa kiasi kikubwa mishahara ya Serikalini inatofautiana sana. Kuna watu wanafanya kazi Serikalini lakini mishahara yao, posho na mazingira yao ya kazi ukiwalinganisha na watumishi wengine unaweza kudhani hii si nchi moja.
2. Kwa ujumla, watumishi wa umma wanaofanya kazi kwenye Halmashauri za Wilaya, Manispaa, Majiji na Wizarani wanatumia scale za mishahara kwa mfumo wa TGS, ambao naweza kusema wanalipwa mishahara midogo kulinganisha na wengine nitakaowaelezea katika point namba 4 hapa chini. Hawa mara nyingi mtu wa degree anaweza kuanza na basic ya 710,000/= au 715,000/= hivi. Hata hivyo, mishahara yao hupanda kila baada ya miaka kadhaa (mara nyingi kila baada ya miaka 3). Huku ndio kunaitwa kupanda madaraja ambako awamu iliyopita iliwanyima hiyo haki yao ya kupanda hayo madaraja kama utakavyokuwa unasikia kelele nyingi huku mitandaoni wanavyosema.
3. Kwa mantiki hiyo, mtumishi anayeanza kazi leo katika level ya degree si sawa na yule mwenye miaka 6 au 9 au 12 kazini. Unaweza kukuta mtu baada ya miaka kadhaa kapandishwa madaraja na analipwa mshahara kufikia hata 1.5M au hata 2M.
4. Kama nilivyosema hapo juu kwenye point namba 2, huko serikalini, watumishi wa umma wanaitumikia Serikali moja ila kupitia njia (Waajiri) au channel tofauti tofauti ambazo zinatofautiana kwa kiasi kikubwa sana. Mshahara wa Mtumishi wa Local governament (maarufu kama Halmashauri) si sawa kabisa na Mtumishi wa Mashirika au Taasisi nyingine za Serikali kama vile TANESCO, UWURA, TPDC, HESLB, BOT, TRA, TANAPA, TCRA, VYUO VIKUU, OFISI YA CAG, BRELA, NIMRI, n.k. Watumishi wa hizi Taasisi kwa mazingira ya kazi zao, mishahara yao na posho za hapa na pale, kiufupi unaweza sema wanafanya kazi kwenye private sectors tena zinazosimamiwa na viongozi kutoka nchi za nje. Ila ndio hivyo wote tupo nchi moja. Ukifuatilia kwa undani utajua pia ni kwa nini kuna huo utofauti. Kama unabisha wewe nenda ofisi za NIMRI pale POSTA- DAR, au nenda Ofisi za HESLB- Mwenge, au TCRA - Ubungo Mawasiliano halafu uende na Ofisi ya Manispaa ya Temeke au Ilala uone kama hata tu mazingira ya Ofisi zao kama yapo sawa kisha ulete hapa mrejesho.
4. Jambo lingine linalowapeleka watu Serikalini ni ukweli kuwa huko kuna security kubwa ya kazi ukilinganisha na private sector. Maana yake ni kuwa, ukiwa mtumishi wa umma, hata ukifanya makosa, kuja ukaachishwa kazi process zake ni nyingi kidogo na si rahisi kama ilivyo kwenye private sector ambako unaweza kuwa na kazi leo na wiki ijayo ukawa jobless.
5. Ukweli mwingine ni kuwa, mbali na mishahara, watumishi wengi wa Serikalini wanapata posho za hapa na pale kutokana na extra duties, perdiems za safari kikazi, trainings n.k zinazowaweka mjini. Ndio umesikia pia juzi kuwa zimepandishwa. Kabla ya kupandishwa juzi, mtu wa degree alikuwa anapata posho ya kujikimu laki moja kwa siku akienda safarini kikazi katika sehemu za mikoani au majiji. Sasa unaweza kuta mtumishi ana visafari vya hapa pale kwa mwezi angalau hata mara moja, au akikosa sana ndani ya miezi mitatu hakosi kasafari. Sasa akipata 100K kwa siku mara siku 7 tu tayari ana 700K. Unaona sasa Mkuu?
6. Mtumishi wa Serikalini ana fursa ya kujiendeleza kielimu na akiwa masomoni, ataendelea kupokea mashahara wake na kazi yake akirudi ataikuta. Kitu ambacho ni kigumu sana kwenye Private sectors.
7. Mtumishi wa Umma mbali na fursa ya matibabu kwa BIMA yeye na familia yake ikiwamo wazazi wake, ana fursa ya kuweza kukopa mkopo kwa njia rahisi ukilinganisha na yule wa Private sector.
Kimsingi hizo ni baadhi ya sababu zinazowafanya watu kukimbilia huko Serikalini licha ya mishahara ya kuanzia kuwa midogo ukilinganisha na private sectors.
Acha uongo HESLB haipo mwenge Bali ipo temeke mtaa wa kilimo kituo cha veterani1. Well, kwa kiasi kikubwa mishahara ya Serikalini inatofautiana sana. Kuna watu wanafanya kazi Serikalini lakini mishahara yao, posho na mazingira yao ya kazi ukiwalinganisha na watumishi wengine unaweza kudhani hii si nchi moja.

Wanapiga root hao hawakai ofisini mwaka mzimaUmeshusha nondo za maana sana kiongozi. Much respects. Hapo umeitaja NAOT lakini Kazi zao walizotangaza hivi majuzi wao pia wanatumia mfumo wa TGS kama wa halmashauri. Nilijiuliza sana coz Ofisi ya CAG ni taasisi ya serikali inayojitegemea the likes of TRA, TPA, TANESCO, TARURA n.k kwa nini mfumo wake wa mshahara ni wa TGS?!
Acha uongo HESLB haipo mwenge Bali ipo temeke mtaa wa kilimo kituo cha veterani
hiyo Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (NAOT) acha kabisa watu wanakula per diem hadi wanakimbia.hao safari nyingi sana. huyo kwa mwezi kukunja mil 4 kitu kidogo sana. pamoja wanalipa na TGS.Umeshusha nondo za maana sana kiongozi. Much respects. Hapo umeitaja NAOT lakini Kazi zao walizotangaza hivi majuzi wao pia wanatumia mfumo wa TGS kama wa halmashauri. Nilijiuliza sana coz Ofisi ya CAG ni taasisi ya serikali inayojitegemea the likes of TRA, TPA, TANESCO, TARURA n.k kwa nini mfumo wake wa mshahara ni wa TGS?!
Lakin si walikuwa mwenge...may be mtoa mada alikuwepo dar kitambo kabla hazijahamishwa...Acha uongo HESLB haipo mwenge Bali ipo temeke mtaa wa kilimo kituo cha veterani
Zamani sio Sasa kwahiyo asidanganye watu akatuona maboya humuLakin si walikuwa mwenge...may be mtoa mada alikuwepo dar kitambo kabla hazijahamishwa...
Acha kukaza ubongo na kutafuta negativity ....have tolerance
Mara ya mwisho kufika HESLB mimi mwenyewe ilikuwa kati ya mwaka 2016-2017 hivi na walikuwa pale Mwenge. Huko Temeke huenda wamehamia au huenda wana centers zaidi ya moja kwa Dar es Salaam. Sina nia ya kumdanganya yeyote na sifaidiki kwa chochote kumdanyanya mtu.Acha uongo HESLB haipo mwenge Bali ipo temeke mtaa wa kilimo kituo cha veterani