Roga Roga
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 656
- 499
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.