Idadi ya MbaoHabari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.
Na namna ya kulipa fundi kwa kazi yote ikoje??Idadi ya Mbao
Kama utatumia mbao za futi 12 na gympsum board yako utapiga mbao mbili katikati (spacing 81cm)
No = (((12÷0.6)+1)×10+((10÷0.81)
+1)×12+((12÷0.6)+1)×12
×0.45)÷3.6 = 135pcs
Kama utatumia mbao za futi 12 na gympsum board yako utapiga mbao moja katikati (spacing 120cm)
No = (((12÷0.6)+1)×10+((10÷1.2)
+1)×12+((12÷0.6)+1)×12
×0.45)÷3.6 = 121pcs
Kama utatumia mbao ndefu za futi 20, copy hiyo formula ingiza kwenye calculator then hapo kwenye 3.6 type 5.7
Jumlisha gharama ya material zote then labour charge huwa ni kati ya 25 to 30% ya total cost ya materialsHabari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.
Mara nyingi kila fundi anakuaga na utaratibu wake, kuna mafundi wengine wanakuchaji kwa kila gympsum board mfano anaweza akakwambia gympsum moja anapiga kwa sh 15,000 (hii inajumuisha kazi zote, kupiga mbao, kufunga board, na kubandika mikanda) kwa hivyo gharama itategemea na idadi ya gympsum zitakazotumika. Kiufupi jitahidi labour charge kwa kazi yoyote iwe inarange kwenye 18% mpaka 25% ya gharama za material kutegemeana na ugumu wa kaziNa namna ya kulipa fundi kwa kazi yote ikoje??
Na namna ya kulipa fundi kwa kazi yote ikoje??
Mbao anza na 2x2 70.Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.
Aisee mbona ghaliJumlisha gharama ya material zote then labour charge huwa ni kati ya 25 to 30% ya total cost ya materials
Ndo minimum principleAisee mbona ghali
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.
Sawa mkuu,Naomba unitafute kaka tukufanyie kaz kwa bei ya offer iliyoanza December 22 had January 10,2023 call )WhatsApp 0757735884 au tembelea ukurasa wetu Instagram Kama highland _decor_solution msimu huu wa sikukukuu labour charge ni 30% off karibu
Nyumba gani hyo aise yenye sitting room ,stoo na dinning je nyumba yako Haina nyumb ya kulalaHabari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda yake katika nyumba. Nyumba ina ukubwa wa mita 12 kwa 10 na ina vyumba vitatu, sitting room, dinning, jiko na stoo. Kwa mwenye uwelewa naomba msaada wenu. Pia nomba nijue namna ya kupata estimation za mbao kwa blandering.
Chukua Tisa mkuu Hali ngumu mm siyo fisadiENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.
UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500
km.1 kutoka main road
NATAKA ML. 18