Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea.
Naona bei kwa kule ni 3346USD
View attachment 3043473
Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili
8883630 x2 haikosi 18,000,000
Wakuu ndivyo??
Dualis ya mwaka gani?Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea.
Naona bei kwa kule ni 3346USD
View attachment 3043473
Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili
8883630 x2 haikosi 18,000,000
Wakuu ndivyo??
Sante mkuuDualis ya mwaka gani?
Unaingia kwenye kikokotoo cha kodi cha tra Used Motor Vehicle Valuation System - Used Motor Vehicle Valuation System
Ongeza na kama 1mil. ya gharama ndogo ndogo kama malipo kwa kampunj ya clearing and forwarding nk.
Ongeza na gharama za Bima na service ya gari.
Hii hapa ni ushuru wa Dualis ya mwaka 2013.
View attachment 3044315
Kwa style hio unamchekaje mtu anayenunua gari mkononi🤣!?Ghrama ya ushuru ni kubwa kuliko bei ya kununulia
Kuna risky free importing vehicles from abroad.Kwa style hio unamchekaje mtu anayenunua gari mkononi🤣!?
You can get a duty free, properly maintained vehicle on the P2P used car market of Dar es Salam using only 60% of the whole cost of importing similar vehicle from Japan.
Kwanini ulipe 18M wakati unaweza pata gari hio hio nchini kwa 11M ikiwa kwenye hali nzuri tu?
Wanaitwaje?Kuna risky free importing vehicles from abroad.
Bongo kuna wizi,default kibao. Binafsi nawakubali wale wakaka pale Morocco japo bei zao kuubwa sana.
Nchi ya walamba asaliGhrama ya ushuru ni kubwa kuliko bei ya kununulia
Sawa ila gharama ni kubwa sana kuimport directly from Japan without any justification. Unanunua gari kwa gharama kubwa utafikiri tunalinda uzalishaji wa ndani maybe ila hatuna hata hicho kiwanda.Kuna risky free importing vehicles from abroad.
Bongo kuna wizi,default kibao. Binafsi nawakubali wale wakaka pale Morocco japo bei zao kuubwa sana.
Kwa hiyo mkuu ww unapemdelea za mkononi zaidi?Sawa ila gharama ni kubwa sana kuimport directly from Japan without any justification. Unanunua gari kwa gharama kubwa utafikiri tunalinda uzalishaji wa ndani maybe ila hatuna hata hicho kiwanda.
😀😀 za mkononi unazipata 2 tena zilizo simama kwa bei hiyoHapo bongo serikali haitaki watu wamiliki magari, yanii hii biashara asee sijui inakuwaje yani gari million kumi ushuru milion kumi😂😂🙌 sijui tu Mungu atusaidie wabongo
Kwa uzoefu wako wa wepi wana magari na bei poa zaidi?Befoward, Nikkyo, TCV, SBT, Enhance Auto, Real Motors, Autocom Japan