Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Kuagiza gari njee ni sifa labda kama umeikosa bongo😀😀 za mkononi unazipata 2 tena zilizo simama kwa bei hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuagiza gari njee ni sifa labda kama umeikosa bongo😀😀 za mkononi unazipata 2 tena zilizo simama kwa bei hiyo
SBT ukipata Gari kinanda ni haswaa japo huwa hazikai na mala nyingi zinawekwa Usiku sana ukiamka asubuhi unakuta iko Reserved inabidi upate namba ya Account Manager mmoja ya whatsapp unampanga ikitoka gari kali tu anaishikilia mnaanza ku negotiate.Kwa uzoefu wako wa wepi wana magari na bei poa zaidi?
Unaeza nisaidia hy # mkuu?SBT ukipata Gari kinanda ni haswaa japo huwa hazikai na mala nyingi zinawekwa Usiku sana ukiamka asubuhi unakuta iko Reserved inabidi upate namba ya Account Manager mmoja ya whatsapp unampanga ikitoka gari kali tu anaishikilia mnaanza ku negotiate.
Ngoja ni share hapa hapaUnaeza nisaidia hy # mkuu?
Hello... Karibu nikusaidie. Mimi ni agent natoa magar bandarini 0764423726Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea.
Naona bei kwa kule ni 3346USD
View attachment 3043473
Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili
8883630 x2 haikosi 18,000,000
Wakuu ndivyo??