Naomba kujua nikiagiza Dualis from Japan hadi mlangoni kwangu Tsh ngapi

Kwa uzoefu wako wa wepi wana magari na bei poa zaidi?
SBT ukipata Gari kinanda ni haswaa japo huwa hazikai na mala nyingi zinawekwa Usiku sana ukiamka asubuhi unakuta iko Reserved inabidi upate namba ya Account Manager mmoja ya whatsapp unampanga ikitoka gari kali tu anaishikilia mnaanza ku negotiate.
 
Unaeza nisaidia hy # mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…