Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai?

LONDON BOY
 
Maana yake ushahidi uliotolewa na jamhuri usipokuwa challenged na mshtakiwa kwa kujitetea unatosha kumtia hatiani kwa kosa aliloshtakiwa nalo.

Tuseme Lissu Leo aamue sijitetei basi atakutwa na hatia na kuhukumiwa.

Akijitetea Kuna mawili. Mosi, kukutwa na hatia na kuhukumiwa, pili kukutwa bila hatia na kuachiwa huru.
 
Mzee mwenzangu hiyo issue kisheria huwa tunaita prima facie case ni kwamba mahakama inakuwa imeshapima uzito wa ushahidi wa upande wa mashtaka na kuona una mashiko. Yaani kwa lugha rahisi, upande wa Jamhuri unakuwa umemwaga upupu mwingi kiasi kwamba huwezi tu kuondoka ukajifanya hakuna kilichotokea. Mahakama inasema "Kiongozi, hapa kuna moshi mwingi sana, hebu shuka uwanjani utueleze moto umetokea wapi." Sio kwamba huyo mtu anakuwa kashahukumiwa hapana, ila ni ile janja janja ya kutaka kesi iishe kirahisi bila kujitetea inakuwa imegonga mwamba.
 
Maana ya neno
kukinukisha ndio uhaini?
Kwa mfano, yule mkufunzi wa Udom anatuhumiwa Kupanga kuchoma vituo vyote vya polisi nchini. Ila hawajui ni Kwa namna gani, sasa inabidi ajitetee kama ni kweli au sio kweli.
Kwa lissu… Je kukinukisha ndio uhaini? Mahakama inasema ajibu…
 
Hatua ya awali ni kuwasilisha ushahidi na mashahidi wanaodai kushuhudia kosa kuhojiwa. Lengo ni upande wa mashtaka kuishawishi mahakama kuna kosa lilitendeka.

Kwa case ya Lissu hatua hiyo imepita na mahakama imejiridhisha, kwa ushahidi ule, most likely kuna kosa lilitendeka (case to answer). Otherwise, angeachiwa huru.

Hatua inayofuata ni mshtakiwa kuishawishi mahakama kwamba hakuna kosa lilitendeka. Akiweza kuishawishi mahakama ataachiwa huru. Vingenevyo, atakatiwa adhabu kwa mujibu sheria kwa aina ya makosa atakayokutwa nayo! Umeelewa?
 
Mzee mwenzangu hiyo issue kisheria huwa tunaita prima facie case ni kwamba mahakama inakuwa imeshapima uzito wa ushahidi wa upande wa mashtaka na kuona una mashiko. Yaani kwa lugha rahisi, upande wa Jamhuri unakuwa umemwaga upupu mwingi kiasi kwamba huwezi tu kuondoka ukajifanya hakuna kilichotokea. Mahakama inasema "Kiongozi, hapa kuna moshi mwingi sana, hebu shuka uwanjani utueleze moto umetokea wapi." Sio kwamba huyo mtu anakuwa kashahukumiwa hapana, ila ni ile janja janja ya kutaka kesi iishe kirahisi bila kujitetea inakuwa imegonga mwamba.
Sahihi! Upande wa mashtaka wameshaprove there is a case to answer. Burden to prove them wrong iko kwa mshtakiwa sasa. Finally, mahakama itatoa hukumu.
 
Maana yake ushahidi uliotolewa na jamhuri usipokuwa challenged na mshtakiwa kwa kujitetea unatosha kumtia hatiani kwa kosa aliloshtakiwa nalo.

Tuseme Lissu Leo aamue sijitetei basi atakutwa na hatia na kuhukumiwa.

Akijitetea Kuna mawili. Mosi, kukutwa na hatia na kuhukumiwa, pili kukutwa bila hatia na kuachiwa huru.
Asante Sana kwa darasa
 
Mzee mwenzangu hiyo issue kisheria huwa tunaita prima facie case ni kwamba mahakama inakuwa imeshapima uzito wa ushahidi wa upande wa mashtaka na kuona una mashiko. Yaani kwa lugha rahisi, upande wa Jamhuri unakuwa umemwaga upupu mwingi kiasi kwamba huwezi tu kuondoka ukajifanya hakuna kilichotokea. Mahakama inasema "Kiongozi, hapa kuna moshi mwingi sana, hebu shuka uwanjani utueleze moto umetokea wapi." Sio kwamba huyo mtu anakuwa kashahukumiwa hapana, ila ni ile janja janja ya kutaka kesi iishe kirahisi bila kujitetea inakuwa imegonga mwamba.
Asante Sana kwa darasa zuri
 
Back
Top Bottom