GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
🤣🤣🤣🤣CAF ranking Simba ya 5 point 48 Yanga ya 12 point 34.
FIFA club world cup 2029: ranking: Yanga ya 10 piont 11 Simba inashika mkia kwa point 0
Mkuu Mwamba huwa anaandika Utumbo?????Mida yako hii ya kutiririsha threads humu nyingi zinakuaga ni utumbo tu! Huna kazi ya kufanya?
Wewe chizi🤣🤣🤣🤣
Kama litakuja tena kolo hapa kwa hoja hii, nitatoka Mimi maana hatowezekana tena.
SahihiHaaahaaa!!
Simba mnapata tabu sana kutafuta chaka la kujifichia.
Nenda England uone kama Manchester United, Man City, Liverpool wanajivunia rank za UEFA, au nenda Spain uwaulize Barcelona na Real Madrid kama kuchukuwa ubingwa na kuwa nafasi za juu UEFA ni kipi kitu CHENYE HESHIMA.
Furaha na heshima ya timu ni MAKOMBE.
Wewe umeenda mkuu? Huko Manchester na Madrid?Haaahaaa!!
Simba mnapata tabu sana kutafuta chaka la kujifichia.
Nenda England uone kama Manchester United, Man City, Liverpool wanajivunia rank za UEFA, au nenda Spain uwaulize Barcelona na Real Madrid kama kuchukuwa ubingwa na kuwa nafasi za juu UEFA ni kipi kitu CHENYE HESHIMA.
Furaha na heshima ya timu ni MAKOMBE.
Mkuu umenifanya Nicheke mpaka basi....!!!!!!Kuna shabiki lia lia yupo na calculator anahesabu fedha club yake ilizokusanya msimu huu kwa haya makombe. Naona anafuta anasonya anarudia dk 15 sasa. Sijui ana mgao au ni nini anatafuta.
Hakuna shabiki anayefurahia pesa kwasababu hakuna pesa zinazogaiwa kwa mashabiki, fulaha ya shabiki ni mataji ( makombe)Kuna shabiki lia lia yupo na calculator anahesabu fedha club yake ilizokusanya msimu huu kwa haya makombe. Naona anafuta anasonya anarudia dk 15 sasa. Sijui ana mgao au ni nini anatafuta.
Mashabiki wa kijani hao.Hakuna shabiki anayefurahia pesa kwasababu hakuna pesa zinazogaiwa kwa mashabiki, fulaha ya shabiki ni mataji ( makombe)
Kama mnaona nafasi ya klabu yenu huko caf ndiyo Bora zaidi, kwa nini mnamsumbua mangungu ajiudhuru?Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Naisubiria sana hiyo Tuzo. Na ninachoshangaa / kuwashangaa pamoja na kusema Mimi nina Matusi ila 24/7 mnanifuatilia.Ila GENTAMYCINE ana matusi jamani. Hakuna wa kumshinda kwa matusi humu. Tumpeni tuzo.
Sometimes unakuwaga na point.Naisubiria sana hiyo Tuzo. Na ninachoshangaa / kuwashangaa pamoja na kusema Mimi nina Matusi ila 24/7 mnanifuatilia.
kwahiyo mliwekea oda lile basi kwa ajili ya kutembeza viwango vya CAF!!!hamuwezi kuwa siriaz nyie kolo koloniNa kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
Ipo Tano "5" Bora huko kwingine Kuna wenyewe.Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?